UN yasema TV bado haijapoteza dira licha ya teknolojia mpya:

21 Novemba 2018

Televisheni bado ni chombo muhimu cha mawasiliano duniani liacha ya kuzuka kwa teknolojia mpya ambazo zimechukua nafasi kubwa ya maisha ya watu limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni , UNESCO

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
1'34"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud