Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wa Burundi walioko Rwanda watatizika na ukata

Wakimbizi wa Burundi walioko Rwanda watatizika na ukata

Pakua

Helena Christensen mmoja wa waungaji mkono wa ngazi ya juu wa shughuli za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR ametoa wito kwa jamii ya kimataifa iwakumbuke na kuwapatia msaada wakimbizi wa Burundi waliopatiwa hifadhi nchini Rwanda. 

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
1'55"
Photo Credit
UNHCR/Kate Holt