07 Oktoba 2018

7 Novemba 2018

Katika jarida la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

-Chanjo ya Ebola kwa wahudumu wa afya Uganda imeanza katika kujihadhari kabla ya shari

-Mwanamichezo nyota wa zamani na balozi mwema wa Umoja wa Mataifa Dikembe Mutombo awaasa vijana kukumbatia amani na elimu badala ya vita

-Mkimbizi kutoka Burundi anufaika na biashara ya sabuni kambini Kakuka Kenya

-Makala leo inamulika ibara ya tano ya haki za binadamu kuhusu matezo

-Mashinani utamsikimbia mbunge kutoka Kadjado Kenya akizungumzia umuhimu wa elimu

Audio Credit:
UN News/Siraj Kalyango
Audio Duration:
11'35"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud