02 Novemba 2018

2 Novemba 2018

Jarida la leo na Flora Nducha limejaa taarifa kemkem

Mwaka 2018 pekee waandishi 88 wameuawa hadi sasa

Tupunguze kiwango cha uchafuzi wa hewa kwa theluthi mbili ifikapo 2030-WHO

Teknolojia ya nyuklia yainua mapato ya wakulima Zimbabwe

Mfululizo wa makala kuelekea miaka 70 ya tamko la haki za binadamu.Leo ni ibara ya 2.

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
11'59"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud