Radio ina umuhimu mkubwa katika kutimiza SDGs Uganda

Radio ina umuhimu mkubwa katika kutimiza SDGs Uganda

Pakua

Teknolojia kama matumizi ya Radio ina mchango mkubwa katika kuhusisha jamii kwenye utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs. Nchini Uganda mamilioni ya watu hutumia chombo hicho kufikisha ujumbe, kutoa maoni na hata mapendekozo ya kufanyiwa kazi na serikali na wadau wa maendeleo.

Audio Duration
2'
Photo Credit
Radio na teknolojia.(Picha:UNESCO)