09 Oktoba 2018

9 Oktoba 2018

Hii leo jaridani tunaanzia Sudan Kusini ambapo Umoja wa Mataifa umetaka wanawake washirikishwe katika mchakato wa amani. Tunaangazia masuala ya wakimbizi ambapo yaelezwa kuwa kila mwaka mchango wa kusaidia kundi hilo unazidi kusinyaa. Posta nayo ambayo leo ndio siku yake ya kimataifa inamulikwa ikielezwa kuwa bado ina nafasi kubwa katika maendeleo endelevu. Makala John Kibego anatukutanisha na mwanamke mchomelea vyuma huko Uganda na mashinani ni nchini Kenya, huduma za afya. Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, Karibu!

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'21"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud