Wanawake wana mchango katika amani ya Sudan Kusini

9 Oktoba 2018

Wanawake nchini Sudan Kusini wameelezwa kuwa na mchango mkubwa katika mchakato wa amani ya taifa hilo lililoghubikwa na vita, hivyo kushirikishwa katika mchakato mzima ni muhimu sana. Ameyasema hayo mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa alipozungumza na wanawake wakimbizi wa ndani huko Bentiu Sudan Kusini.

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
3'27"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud