Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nasikitika sana mama ambaye umemtengeneza halafu baada ya mwaka mmoja anarejea wameshamharibu- Dkt. Mukwege

Nasikitika sana mama ambaye umemtengeneza halafu baada ya mwaka mmoja anarejea wameshamharibu- Dkt. Mukwege

Pakua

Hii leo kamati ya tuzo ya Nobel imemtagaza Dkt. Dennis Mukwege wa DR Congo kuwa miongoni mwa washindi wawili wa tuzo ya amani ya Nobel. Mwingine ni Nadia Murad, myazid ambaye ni balozi mwema wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuzuia madawa na uhalifu, UNODC. Mwaka 2013 baada ya kunusurika kuuawa, Dkt. Mukwege alihojiwa na Joseph Msami wa Idhaa ya Kiswahili na akaelezea mambo kadhaa ikiwemo kile kinachomtia moyo, halikadhalika changamoto anazokumbana nazo.

Audio Credit
Joseph Msami/ Denis Mukwege
Audio Duration
6'18"
Photo Credit
MONUSCO