Kuhudumia watu wangu ndio wito wangu:Dkt. Atar

1 Oktoba 2018

Unapokuwa daktari wito wako ni kufanya kila liwezekanalo ili kuokoa maisha ya watu wanaokuhitaji, iwe katika mazingira mazuri au katika mazingira magumu, na kwangu hilo ndilo la muhimu. Amesema hayo Dkt. Atar Adaha, mshindi wa tuzo ya wakimbizi ya Nansen 2018, kutokana na kazi kubwa anayoifanya kama daktari bingwa wa upasuaji nchini Sudan Kusini.

Audio Credit:
UN News/Flora Nducha
Audio Duration:
2'27"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud