Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sasa Burundi tuna amani na wakimbizi wanarejea nyumbani:Nibigira

Sasa Burundi tuna amani na wakimbizi wanarejea nyumbani:Nibigira

Pakua

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Ezechiel Nibigira ameuambia mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  kikao cha 73 unaoendelea mjini New York Marekani kuwa hivi sasa taifa lake lina utulivu na amani na wakimbizi walioko nje wameanza kurejea nyumbani, hivyo ni wakati wa Baraza la Usalama kuacha kulijadili taifa hilo kila uchao.

Audio Credit
UN News/Siraj Kalyango
Audio Duration
2'46"
Photo Credit
UNICEF/UNI180029/Colfs