Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjasiriamali mtanzania achagiza serikali kuhusu biashara ya nje

Mjasiriamali mtanzania achagiza serikali kuhusu biashara ya nje

Pakua

 

Wajasiriamali walioshiriki jukwaa la kimataifa la kuendeleza biashara ya nje, WEDF2018 nchini Zambia wamesema kilichobakia sasa baada ya kupata stadi na hamasa, ni kuhamasisha serikali zao kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo wakati wa kuuza bidhaa zao nje ya nchi.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
1'24"
Photo Credit
UN