Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua ya Ukraine kutoa pensheni kwa wazee imepongezwa

Hatua ya Ukraine kutoa pensheni kwa wazee imepongezwa

Pakua

Mahakama kuu zaidi nchini Ukraine imetoa uamuzi unaosaidia mamia kwa maelfu ya wazee, wakimbizi wa ndani na wakaazi katika maeneo yasiodhibitiwa na serikali kupata pensheni zao ambazo wamekosa kwa tangu 2014.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
57"
Photo Credit
IOM/Konstantin Skomorokh