Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Uliza usiogope, kuuliza si ujinga

Neno la Wiki- Uliza usiogope, kuuliza si ujinga

Pakua

Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo Uliza usiogope, kuuliza si ujinga

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
50"
Photo Credit
UN News Kiswahili