6 Septemba 2018

6 Septemba 2018

Katija Jarida la Umoja wa Mataifa Siraj Kalyango anakuletea taarifa kuhusu

Watoto milioni 150 wananyanyaswa na kufanyiwa ukatili mashuleni duniani kote kwa mujibu wa UNICEF

Uganda kwa kushirikiana na WHO wazindua kampeni kubwa ya chanjo ya kipindupindu, lengo kuwafikia watu milioni 1.6

Huko Somalia UNSOM yawasihi viongozi wa majimbo kushikamana na kuaminiana ili kuleta amani

Makala yetu leo inamulika shida ya chakula Burundi hasa utapiamlo

Na mashinani Dr Joseph Kibachio Mwangi kutoka Kenya anazungumzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza

Audio Credit:
UN News/Siraj Kalyango
Audio Duration:
13'1"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud