Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

5 Septemba 2018

5 Septemba 2018

Pakua

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

Tahadhari ya WHO kuhusu kutofanya mazoezi ya viungo na athari zake kiafya

DRC sasa zaidi ya watu milioni 2.5 wanafahamu husu Ebola na jinsi ya kujikinga kwa mujibu wa UNICEF

Wakimbizi wa ndani 3500 nchini Sudan Kusini wamehamishiwa makazi salama kutoka kituo cha ulinzi wa raia umesema mpango wa UNMISS

Makala leo inamulika mchango wa mpiga picha kutoka Tanzania katika kupigia debe SDG's

Na vijana sio taifa la kesho tena bali la leo kwa mujibu wa Dkt. Salim Ahmed Salim

Audio Credit
UN News/Siraj Kalyango
Audio Duration
12'29"