Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hakuna haki bila ukweli kwa watu waliotoweshwa:UN

Hakuna haki bila ukweli kwa watu waliotoweshwa:UN

Pakua

Kila nchi duniani ni lazima ichukue hatua haraka kuwatafuta watu ambao walitoweshwa kwa lazima na kuhakikisha uhalifu huo unachunguzwa kikamilifu na hatua kuchukuliwa.

Wito huo umetolewa  mjini Geneva Uswisi na wataalam wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya waathirika wa kutoweshwa kwa lazima ambayo kila mwaka hufanyika Agosti 30.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
Photo: Jeca Taudte