Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jihadhari na virusi vya homa ya nguruwe China:FAO

Jihadhari na virusi vya homa ya nguruwe China:FAO

Pakua

Shirka la Chakula na Kilimo, FAO limeonya kuwa virusi vya homa ya ngurwe ya African iliolipuka nchini Uchina huenda itasambaa hadi katika nchi nyingine katika bara la Asia. Hii ni kwa kuzingatia kusambaa kwake hadi maeneo yaliopo mbali wa kilomita 1,000 nchini humo.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
59"
Photo Credit
WMO/Alfred Lee