Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ili kufanikisha SDGs ni lazima ubia wa UN na NGOs uzingatiwe

Ili kufanikisha SDGs ni lazima ubia wa UN na NGOs uzingatiwe

Pakua

Mkutano wa 67 kati ya asasi za kiraia, NGOs, na Idara ya mawasiliano ya kimataifa ya Umoja wa Mataifa unaanza leo kwenye  makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani ukilenga kusaka mbinu bora za pande mbili hizo kushirikiana ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'32"
Photo Credit
SDGs.(Picha:UNIC/Tanzania)