Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

17 Agosti, 2018

17 Agosti, 2018

Pakua

Jaridani hii leo na Patrik Newman anaangazia:

  1. Ni jinsi gani misaada ya kibinadamu ilivyosababisha mapigano baina ya jamii huko Sudan Kusini na sasa mamia ya familia zimesambaratishwa.
  2. Huko DRC, hivi sasa WHO imeibuka na mbinu mpya kufikisha huduma kwa jamii zilizoathirika na Ebola lakini zinaishi kwenye maeneo hatarishi kiusalama huko Kivu Kaskazini.
  3. Nchini Sudan Kusini, kijana mmoja baada ya kupata machungu ya kusaka maji akiwa mtoto, sasa ameamua kusoma uhandisi na kuleta kicheko kwa watoto wa jamii yake.
  4. Makala leo tunabisha hodi Kenya, mwanariwaya Ken Walibora anachambua ushauri.
  5. Na katika Neno la Wiki, BAKITA inafafanua neno SHINDA! Karibu
Audio Credit
Patrick Newman
Audio Duration
11'23"