Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jamii mbili zapigana Sudan Kusini kwa sababu ya misaada ya kibinadamu.

Jamii mbili zapigana Sudan Kusini kwa sababu ya misaada ya kibinadamu.

Pakua

Kuelekea siku ya usaidizi wa kibinadamu duniani tarehe 19 mwezi huu wa Agosti, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umeanza kuchunguza mauaji ya watu 14 waliouawa wakati wa mapigano baina ya jamii za wafugaji nje ya Juba, mji mkuu wa nchi hiyo.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'30"
Photo Credit
UN Photo/UNMISS