15 Agosti 2018

15 Agosti 2018

Je wajua kuwa wasafirishaji haramu hutumia "juju" kulaghai watu ili hatimaye wawe na hofu na watume pesa kwa kuhofia kufariki dunia? Hayo na mengine mengi ikiwemo sababu za Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa,  Zeid Ra'ad Al Hussein kuzungumza bila woga na awamu ya pili na ya mwisho ya makala na kijana Sharifa Kato, ni miongoni mwa habari tulizokuandalia hii leo zikiletwa kwako na Patrick Newman. Karibu!

 

Audio Credit:
Patrick Newaman
Audio Duration:
11'21"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud