Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Unyonyeshaji maziwa ya mama unajenga ukaribu wa mama na mtoto : Wataalam

Unyonyeshaji maziwa ya mama unajenga ukaribu wa mama na mtoto : Wataalam

Pakua

Je wafahamu faida za kunyonyesha mtoto maziwa ya mama punde tu anapozaliwa? Na je wafahamu pia sababu za baadhi ya wanawake kutopenda kunyonyesha watoto wao? Hayo na mengine mengi ni miongoni mwa mambo ambayo Patrick Newman amekukusanyia katika makala hii ya kuhitimisha wiki ya unyonyeshaji duniani kwa mwaka huu wa 2018 akiangazia mkoa wa Tanga na Njombe nchini Tanzania.

 

Soundcloud
Audio Credit
Grace Kaneiya/ Patrick Newman
Audio Duration
3'51"
Photo Credit
UNICEF/UN065254/