Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sifahamu utaifa wangu kama ni Burkina Faso au Cote d’Ivoire- Mkimbizi

Sifahamu utaifa wangu kama ni Burkina Faso au Cote d’Ivoire- Mkimbizi

Pakua

Ukosefu wa utaifa umesababisha zaidi ya watu milioni 10 duniani kushindwa siyo tu kuijendeleza kiuchumi bali pia kijamii, imesema ripoti ya mwaka 2017 ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ John Kibego
Sauti
1'45"
Photo Credit
UN