Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watakaohusishwa na unyanyasaji wa kingono hawana kazi UNHCR

Watakaohusishwa na unyanyasaji wa kingono hawana kazi UNHCR

Pakua

Pamoja na jitihada za kupiga vita unyanyasaji wa kingono na ukatili, dhidi ya waathirika wa kivita katika maeneo ya migogoro  duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR sasa limegeuzia harakati hizo kwa wafanyakazi wake ili  kutokomeza vitendo hivyo viovu.

Audio Credit
Patrick Newman/ John Kibego
Audio Duration
1'28"
Photo Credit
Wahanga wa unyanyasaji wa kingono.(Picha:UM/Marie Frechon)