Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua za haraka zinahitajika kunusuru maisha ya mamilioni dhidi ya njaa-FAO

Hatua za haraka zinahitajika kunusuru maisha ya mamilioni dhidi ya njaa-FAO

Pakua

Ukame, mafuriko na vita katika nchi ambazo tayari zimeathirika na migogoro vinatishia kuwaweka mamilioni ya watu katika hatari ya baa la njaa kwa mujibu w shirika la Umoja wa Mataifa lachakula na kilimo, FAO.

Audio Credit
Patrick Newman/ Grace Kaneiya
Audio Duration
1'41"
Photo Credit
Mizozo kama ule wa Sudan Kusini umesababisha madhila makubwa ikiwemo njaa kwa wakazi hususan wanawake na watoto. (Picha-WFP)