Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jungu kuu halikosi ukoko

Jungu kuu halikosi ukoko

Pakua

Ijumaa ya leo mchambuzi wetu wa neno la wiki ni Ken Walibora ambaye ni mwana riwaya na mwanachama wa Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Anachambua methalo isemayo, 'Jungu kuu halikosi ukoko'. Kwa mujibu wa Walibora jungu kuu ni wazee na kawaida hawakosi maarifa, pata uchambuzi kamili hapa.

Audio Credit
Siraj Kalyango/Ken Walibora
Audio Duration
58"
Photo Credit
UN News Kiswahili