Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za wanawake kujikwamua kiuchumi Uganda zaghubikwa na changamoto

Juhudi za wanawake kujikwamua kiuchumi Uganda zaghubikwa na changamoto

Pakua

uhudi za  wanawake kujikwamua kiuchumi Uganda zaghubikwa na changamoto

Kuna msemo umsemao ukimuwezesha mwanamke, umeiwezesha jamii, msemo huu licha ya ukweli wake mara nyingi hautiliwi maanani na juhudi za kuutekelezeka hukumbwa na changamoto mbali mbali ziwe za kijamii, kitamaduni au kiuchumi. Katika Makala hii mwandishi wetu, John Kibego wa Uganda amewatembelea wanawake wajasiriamali wanaovua na kuchuuza samaki  kwenye mwalo wa Sebagoro Magharibi mwa Uganda kuzungumza nao kuhusu changamoto wanazokumbana nazo katika kujikwamua kiuchumi.Ungana naye

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
3'32"
Photo Credit
Wanawake nchini Uganda.(Picha:UNFPA)