Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wapalestina wateseka

Wapalestina wateseka

Pakua

 Kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra’ad Al Hussein amesema   kumekuwa na uchunguzi mdogo sana dhidi ya vikosi vya ulinzi vya Israel ambavyo vinatekeleza ukatili dhidi ya Wapalestina na hata unapofanyika huna nguvu dhidi ya washutumiwa kuweza  kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hukumu ikitolewa  huwa ni ndogo ikilinganishwa na makosa yaliyofanywa.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'44"
Photo Credit
Photo/UNRWA