23 Julai 2018

23 Julai 2018

Jarida la leo na Siraj Kalyango limesheheni habari motomoto.Msichana manusura wa kujilipua aaamua kutoa msaada kwa UNFPA; ukatili wa kijinsia bado mtihani Tanzania; seneta mlemavu wa ngozi kenya;Wakimbizi Syria Jordan wagonjwa wa figo wasaidiwa kwa matibabu.

Audio Credit:
Siraj Kalyango
Audio Duration:
13'4"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud