Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wenye matatizo ya figo Jordan nyota ya jaha yawaangazia

Wakimbizi wenye matatizo ya figo Jordan nyota ya jaha yawaangazia

Pakua

Wakimbizi wa Syria takriban 171 wanaoishi nchini Jordan wamekuwa wanasumbuliwa na matatizo ya figo na tiba yake ni gharama kubwa wasiyoweza kuimudu hadi sasa  ambapo habari njema imewaletea matumaini mapya. 

Audio Credit
Siraj Kalyango/ John Kibego
Audio Duration
2'14"
Photo Credit
Utoaji wa huduma wa afya kwa wagonjwa wa figo.(Picha:WHO)