Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki-Kitanda na Onni Sigalla

Neno la Wiki-Kitanda na Onni Sigalla

Pakua

Katika neno la wiki leo,mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi wa  Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anatuchambulia neno KITANDA. Anasema neno hilo kawaida watu hujua maana moja tu na kuelezea.

Audio Credit
Onn Sigala
Audio Duration
55"
Photo Credit
UN News Kiswahili