Jarida na Flora Nducha. La leo limesheni masuala ya wakimbizi; Wa kutoka Eritrea wajumuishwa na jamii Ureno; huduma za kiafya kwao zaimarika.Mkimbizi msanii chupukizi kimuziki kutoka DRC amwaga vyake Uganda , na je wajua maana nagapi ya neno KITANDA?