Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afrika yabanwa na mvutano wa China-Marekani

Afrika yabanwa na mvutano wa China-Marekani

Pakua

 Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na China umebabisha ongezeko la gharama ya bidhaa na hivyo kuathiri mataifa ya Afrika.Hayo yamesemwa na katibu Mkuu wa UNCTAD Dtk Mukhisa Kitui. Akihojiwa na idhaa hii mwishoni  mwa jukwaa la ngazi ya juu kuhusu maendeleo endelevu, SDGs jijini New York Marekani, Dkt Kitui ameelza jinsi mataifa ya Afrika yalivyoathirika.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
1'13"
Photo Credit
Picha ya UNCTAD