Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vita dhidi ya Ebola DRC vinakaribia ukingoni

Vita dhidi ya Ebola DRC vinakaribia ukingoni

Pakua

Wizara ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC inasubiri kwa hamu tarehe 25 kutangaza kutokomezwa kwa ugonjwa wa Ebola nchini humo.

Hii inatokana na ukweli kwamba tangu tarehe 12 hadi leo hakuna kisa chochote cha Ebola kilichoripotiwa na hivyo ikifika tarehe 24 mwezi huu bila kisa chochote vita dhidi ya mlipuko wa Ebola  ulioanza tarehe 8 mwezi Mei mwaka huu utakuwa umetokomezwa.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'5"
Photo Credit
UNICEF/Naftalin