12 Julai 2018

12 Julai 2018

Katika Jarida la leo Alhamisi Assumpta Massoi anawasilisha masuala mbalimbali:Pesa nyingi zapotea usipomsomesha mtoto wa kike, Flora Nducha anachambua ripoti mpya ya  Benki ya Dunia;Uganda  inaendelea katika gurudumu la  kufanikisha SDGs, ni kwa mujibu wa afisa mratibu wa SDGs akizungumza na idhaa hii; Siraj Kalyango anaeleza safari ya Mwakilishi wa maalum wa Katibu Mkuu nchini Sudan Kusini akitembela eneo la Yambio. Katika makala Grace Kaneiya azungumza na  Isaac Kamande  Gitula kutoka wizara ya  mipango Kenya  kuhusu mikakati ya utekelezaji wa SDGs pamoja na elimu ya TEHAMA imeshika kasi Tanzania.

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'33"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud