Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jiji la New York

Jiji la New York

Pakua

Mamlaka za mikoa na za kitaifa  haziendi sawia kuelekea  kufanikisha lengo namba 11 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs la kuhakikisha miji inakuwa salama na endelevu ifikapo mwaka wa 2030.

Hivyo ndivyo inakamilisha ripoti mpya  ya shirika la  makazi la Umoja wa Mataifa la UN-Habitat na washirika wake ambao wanafuatilia  maendeleo yaliyofikiwa na changamoto tangu  tangu malengo hayo yapitishwe mnamo mwaka wa  2015.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'39"
Photo Credit
UN News/Eric Ganz