Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utesaji haukubaliki na haustahiki popote na kwa mazingita yoyote:UN

Utesaji haukubaliki na haustahiki popote na kwa mazingita yoyote:UN

Pakua

Utesaji unasalia kuwa ni kitendo kisichokubalika na kutohalalishwa wakati wowote ule na kwa sababu yoyote ikiwemo wakati wa hali ya dharura, vurugu za kisiasa au hata wakati wa vita

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'31"
Photo Credit
Picha : IRIN/Amr Emam