Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kila nchi ina wajibu wa kulinda watu wake dhidi ya uhalifu na ukatili:Guterres

Kila nchi ina wajibu wa kulinda watu wake dhidi ya uhalifu na ukatili:Guterres

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezikumbusha nchi na jumuiya ya kimataifa kwamba wana wajibu mkubwa wa kulinda watu wao dhidi ya mauaji ya kimbari, mauaji ya kikabila, uhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Audio Credit
Flora Nducha/UN News
Audio Duration
3'11"
Photo Credit
IOM Niger