Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kijana mkulima ni mfano wa kuigwa Lesotho

Kijana mkulima ni mfano wa kuigwa Lesotho

Pakua

Katika jitihada za Umoja wa Mataifa za kutokomeza  umasikini kama ilivyo katika lengo namba moja la malengo ya  maendeleo endelevu ya mwaka 2030, vijana wanahimizwa kujishughulisha na miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili kujikwamua kimaisha.

Nchini Lesotho Kijana Julius Maboloka ambaye ni mjasiriamali anaejishughulisha na kilimo, amekuwa kivutio  na pia ni mfano wa kuigwa na wengi baada ya mafanikio aliyoyapata kutokana na Biashara zake kunawiri. 

Nini alichokifanya cha ziada katika miradi yake? Ungana na Siraji Kalyango katika makala hii ili upate undani zaidi.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Siraj Kalyango
Audio Duration
3'13"
Photo Credit
Kilimo barani Afrika.(Picha:IFAD)