13 Juni 2018

13 Juni 2018

Katika jarida la habari hii leo Patrick Newman anakuletea..

  1. Msichana mwenye ulemavu ataka akina baba wasikimbie familia zao pindi mtoto mwenye ulemavu anapozaliwa kwenye familia.
  2. Katibu Mkuu wa wizara kutoka Kenya ambaye ana ulemavu wa viungo apaza sauti ya kile kinachofanyika nchini mwake kusaidia kundi hilo.
  3. Wasafirishaji binadamu kimagendo wajipatia dola bilioni 7 mwaka 2016 kwa kusafirisha watu kinyume cha kanuni. Je wafahamu ulaghai unaofanyika?
  4. Katika makala Siraj Kalyango anabisha hodi Lesotho, vijana hawataki mchezo kwenye kilimo.
  5. Mashinani tunakutana na mbunge mteule kutoka Kenya ambaye ana ulemavu. Je ana ujumbe gani?
Audio Credit:
Patrick Newman
Audio Duration:
11'4"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud