Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Amani na uondoaji wa nyuklia ndio iwe shabaha -Guterres

Amani na uondoaji wa nyuklia ndio iwe shabaha -Guterres

Pakua

Nawapongeza viongozi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK, na Marekani kwa kufuata suluhu ya kidiplomasia kumaliza mvutano wa kinyuklia.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'56"
Photo Credit
UN/Eskinder Debebe