Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kilicho bora kwa Afrika ni bora kwetu sote- UN

Kilicho bora kwa Afrika ni bora kwetu sote- UN

Pakua

Miaka 55 iliyopita bara la Afrika lilizindua chombo chake kikileta pamoja nchi zilizokuwa zimepata uhuru. Hii leo  ni miaka 55!

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Grace Kaneiya
Audio Duration
1'31"
Photo Credit
Mama wa jamii ya Ndebele kutoka Afrika Kusini akiwa amebeba mtungi wa kinywaji cha kienyeji.(Picha:UM/P Mugubane)