Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkakati mpya wa WHO kuokoa watu milioni 29 ifikapo 2023

Mkakati mpya wa WHO kuokoa watu milioni 29 ifikapo 2023

Pakua

Wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la shirika la afya ulimwenguni, WHO wameridhia mpango mpya wa mkakati wa  miaka mitano wenye lengo la kusaidia kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu SDGs.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'24"
Photo Credit
Wahudumu wa afya wakipea matibabu watoto waaathirika wa ugonjwa wa kipindupindu. Picha: UNHCR/John Wessels