21 Mei 2018

21 Mei 2018

Jaridani leo Assumpta Massoi anaangazia;

  1. Mkutano wa 17 wa Baraza la Afya la WHO huko Geneva Uswisi, washiriki wasema afya ni hazina kuu.
  2. Sudan Kusini wanawake wabubujika machozi wakitaka amani nchini mwao.
  3. Mtandao wa intaneti waleta nuru kwa mashirika ya misaada ya wakimbizi huko Diffa, Niger.
  4. Makala inabisha hodi kitongoji cha Buyenzi nchini Burundi, Ramadhani Kibuga anaangazia suala la vyoo.
  5. Mashinani leo Dkt. Ezekiel Mwakalukwa kutoka Tanzania anazungumzia suala la uhifadhi wa misitu.
Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
10'57"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud