Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wafungwa wana haki

Wafungwa wana haki

Mmoja wa malengo ya maendeleo endelevu ni kuona amani inatanda katika jamii na pia kuihusisha jamii katika maendeleo endelevu. Pia wananchi wanapashwa kuwa wanapata haki sawa kwa wote na pia kujenga taasisi imara na wajibifu kwa watu wa ngazi zote.

 Hayo na mengine, Umoja wa Mataifa, unasema unataka kuyafikia ifikapo mwaka 2030. Lakini tujiulize mfungwa huwa ana haki kweli?Katika makala haya tunaliangazia hilo.Ungana nae Siraj Kalyango

Pakua
Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
5'20"
Photo Credit
UNICEF/Rajat Madhok