Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Malengo ya maendeleo endelevu yana faida gani kwa jamii ya Afrika?

Malengo ya maendeleo endelevu yana faida gani kwa jamii ya Afrika?

Pakua

Umoja wa Mataifa pamoja na mashirika ya kibinadamu wako katika kampeni madhubuti wakipigia  chepuo agenda ya malengo ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030. Kapeni hiyo inayozijumuisha serikali mbalimbali duniani, ni moja ya njia sahihi ya kuleta usawa na maendeleo kwa nchi masikini kwa mfano upigaji vita uharibifu wa mazingiza, kupigania usawa kijinsia, afya bora na ajira zikiwa ni baadhi tu ya malengo andelevu 17 za Umoja wa Mataifa.

Leo katika mahojiano yetu na Dkt. Maro, anazungumzia umuhimu wa malengo ya maendeleo endelevu kwa jamii ya watu wa kipato cha chini hususani huko Afrika ambako watu wengi ni masikini wanaohitaji elimu ya kutosha kuhusu SGDs.

Audio Credit
Patrick Newman
Audio Duration
3'34"
Photo Credit
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Weruweru nchini Tanzaniwa wakiwa wamebeba mabango ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs kutoka namba 1 hadi 5. (Picha: UNRCO/Mariam Simba)