Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tutahakikisha tunalinda misitu:Tanzania

Tutahakikisha tunalinda misitu:Tanzania

Pakua

Serikali ya Tanzania imesema inalivalia njuga suala la ulinzi wa misitu, kwa faida ya watu wake lakini pia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na harakati za kutimiza malengo ya maendeleo endelevu SDGs.

Audio Credit
UN news Siraj Kalyango
Sauti
1'32"
Photo Credit
UN News/Patrick Newman