Jungu la mzozo wa mashariki ya Kati laendelea kutokota

26 Aprili 2018

Yumkini hali ya mambo Mashariki ya Kati si shwari hata kidogo, kuanzia Syria, yemen, Lenbanon na mzozo ulio kizungumkuti zaiti ni ule baina ya Israel na Palestina. Juhudi za ziada zahitajika kunusuru mamilioni ya watu wa Kanda hiyo amesema Nickolay Mladenov mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu amani ya Mashariki ya Kati.

Audio Duration:
2'7"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud