Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

25 Aprili 2018

25 Aprili 2018

Pakua

1. Vita dhidi ya malaria imeenda kombo tuirejeshe msitarini: WHO 

2. Uwekezaji katika kilimo utawakomboa Wasyria: FAO

3. Madai ya ukatili wa kingono dhidi ya mlinda amani, uchunguzi waanza

4. Makala ikiangazia gonjwa la Malaria

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
10'51"