Waogiek tunajikongoja Kenya,serikali tushikeni mkono: Prengei
Akizungumza na UN News seneta huyo amesema kuna changamoto nyingo zinazoikabili jamii yake lakini kwanza anaeleza majukumu yake katika baraza la seneti ya Kenya.
(SAUTI YA PRENGEI)
Prengei anaamini hakuna lisilowezekana ingawa kila safari ni hatua. Kilio chake kwa serikali ya Kenya ni kuishika mkono jamii hiyo iliyoachwa na treni ya maendeleo hususan ya SDGs, kwani kwao muda unawatupa mkono kwa sababu,
(SAUTI YA PRENGEI)
Ameongeza kuwa hawataki kupigwa jeki huko kuwe ni upendeleo bali ziwe ni njia za kuwawezesha mfano
(SAUTI YA PRENGEI )